sw_tn/psa/130/005.md

16 lines
569 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nafsi yangu
"Nafsi yangu" inamaanisha mwandishi wa zaburi. "mimi"
# Nafsi yangu inasubiri
Mwandishi wa zaburi anazungumziwa kana kwamba anasubiri kitu kwa kutarajia. "Natumaini" au "Nina amini" au "Ninatamani kitu"
# Nafsi yangu inasubiri ... zaidi ya walinzi wanavyosubiri asubuhi
Mwandishi wa zaburi anazungumzia hamu yake Bwana kumsaidia kama kuwa zaidi ya ile hamu ya wale wanaofanya kazi usiku kucha wakisubiri asubuhi ifike.
# walinzi
Hawa ni wanaume wanaolinda miji au viwanja dhidi ya adui na wezi. Hapa inamaanisha watu wanaokeshi uskiu kufanya hivi.