# Nafsi yangu "Nafsi yangu" inamaanisha mwandishi wa zaburi. "mimi" # Nafsi yangu inasubiri Mwandishi wa zaburi anazungumziwa kana kwamba anasubiri kitu kwa kutarajia. "Natumaini" au "Nina amini" au "Ninatamani kitu" # Nafsi yangu inasubiri ... zaidi ya walinzi wanavyosubiri asubuhi Mwandishi wa zaburi anazungumzia hamu yake Bwana kumsaidia kama kuwa zaidi ya ile hamu ya wale wanaofanya kazi usiku kucha wakisubiri asubuhi ifike. # walinzi Hawa ni wanaume wanaolinda miji au viwanja dhidi ya adui na wezi. Hapa inamaanisha watu wanaokeshi uskiu kufanya hivi.