forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
834 B
Markdown
24 lines
834 B
Markdown
|
# kama mzabibu uzaao ndani ya nyumba yako
|
||
|
|
||
|
Mke anazungumziwa kama mzabibu uzaao matunda mengi. Hii inaashiria kuwa watoto ni kama matunda na mke atakuwa na watoto wengi. "anazalisha sana na atakupa watoto wengi"
|
||
|
|
||
|
# watoto wako watakuwa kama mimea ya mizeituni
|
||
|
|
||
|
Watoto wanalinganishwa na mimea ya mizeituni kwa sababu ya jinsi inavyokuwa na kuzunguka kitu. Watoto wataizunguka meza na kuijaza. "utakuwa na watoto wengi watakao kuwa na kufanikiwa"
|
||
|
|
||
|
# wakiizungunka meza yako
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha sehemu ambapo familia hukusanyika kula. Maranyingi, wote wanaokula kwenye meza ya mtu wako chini ya utawala wake.
|
||
|
|
||
|
# mtu atabarikiwa anayemheshimu Yahwe
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika kitenzi cha kutenda. "Yahwe atambariki mtu anayemheshimu"
|
||
|
|
||
|
# siku zote za maisha yako
|
||
|
|
||
|
"maishani mwako mwote"
|
||
|
|
||
|
# Amani iwe juu ya Israeli
|
||
|
|
||
|
"Israeli iwe na amani"
|