sw_tn/psa/119/151.md

12 lines
265 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amri zako zote ni za uaminifu
"ninaweza kuamini amri zako"
# amri za agano
Maana zingine zinazowezekana ni "shuhuda" au "sheria"
# umeziandaa
Mwandishi wa zaburi anazungumzia amri za Yahwe kana kwamba ni nguzo zilizopangwa kwenye ardhi. "umewapa watu kutii"