sw_tn/psa/119/135.md

12 lines
345 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Acha uso wako ung'ae kwa mtumishi wako
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kutenda kwa fadhila kwake kana kwamba uso wa Yahwe ulitoa mwanga juu yake. "Tenda kwa fadhila kwa mtumishi wako"
# Mikondo ya machozi
Mwandishi anazungumzia machozi yake mengi kana kwamba ni mkondo wa maji. "Machozi mengi"
# hawafuati sheria yako
"hawatii sheria yako"