sw_tn/psa/119/117.md

8 lines
237 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Unisaidie mimi
"Nisaidie" au "Nitie nguvu"
# watu hao ni waongo na sio wa kutegemea
Maana zinazowezekana ni 1) "watu hao wanadanganya na hakuna mtu anayeweza kuwaamini" au 2) "watu hao wanapanga mipango ya uongo lakini watashindwa"