# Unisaidie mimi "Nisaidie" au "Nitie nguvu" # watu hao ni waongo na sio wa kutegemea Maana zinazowezekana ni 1) "watu hao wanadanganya na hakuna mtu anayeweza kuwaamini" au 2) "watu hao wanapanga mipango ya uongo lakini watashindwa"