sw_tn/psa/119/087.md

8 lines
239 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wamekaribia kuniwekea mwisho wangu duniani
Hii ni njia ya ustarabu ya kuzungumzia mtu kutaka kumuua mtu mwingine. "Wamekaribia kumuua"
# Kwa upendo wako thabiti
"Kulingana na upendo wako thabiti." "kwa sababu unanipenda kwa uaminifu"