# Wamekaribia kuniwekea mwisho wangu duniani Hii ni njia ya ustarabu ya kuzungumzia mtu kutaka kumuua mtu mwingine. "Wamekaribia kumuua" # Kwa upendo wako thabiti "Kulingana na upendo wako thabiti." "kwa sababu unanipenda kwa uaminifu"