sw_tn/psa/119/085.md

8 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wenye kiburi wamechimba mashimo kwa ajili yangu
Wenye kiburi wanatafuta kumshika mwandishi au kumsababisha kumfanya atende uovu. Hii inazungumziwa kana kwamba walikuwa ni wawindaji wanaochimba mashimo kumtega mwandishi kama mnyama.
# Wenye kiburi
"Watu wenye kiburi" au "Wale walio na kiburi"