# Wenye kiburi wamechimba mashimo kwa ajili yangu Wenye kiburi wanatafuta kumshika mwandishi au kumsababisha kumfanya atende uovu. Hii inazungumziwa kana kwamba walikuwa ni wawindaji wanaochimba mashimo kumtega mwandishi kama mnyama. # Wenye kiburi "Watu wenye kiburi" au "Wale walio na kiburi"