sw_tn/psa/119/083.md

12 lines
525 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nime kuwa kama kiriba katika moshi
Kiriba huaharibika kinaponing'inizwa muda mrefu kwenye sehemu ya moshi. Mwandishi anajifananisha na kiriba kilichoharibiwa na moshi kusisitiza kuwa anajihisi hana faida.
# Hadi lini mtumishi wako avumilie hili, utawahukumu lini wale wanaonitesa?
Mwandishi anatumia swali kumwomba Mungu kuwaadhibu wale wanaomtesa. "Tafadhali usinifanye nisubiri zaidi. Waadhibu wale wanaonitesa."
# mtumishi wako
Mwandishi analjielezea kama "mtumishi wako." "lazima ni, mtumishi wako" au "lazima ni"