sw_tn/psa/119/045.md

12 lines
314 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# NItatembea salama
Kutembea salama ni kuishi maisha kwa usalama. "Nitaishi kwa usalama katika Mungu"
# natafuta maagizo yako
"Kutafuta" ni kutambua, au kupata uelewa wa maagizo ya Mungu kana kwamba mtu anaweza kuyaona.
# amri zako makini mbele ya wafalme
"amri za dhati kwa wafalme" au "maagizo kwa wafalme"