# NItatembea salama Kutembea salama ni kuishi maisha kwa usalama. "Nitaishi kwa usalama katika Mungu" # natafuta maagizo yako "Kutafuta" ni kutambua, au kupata uelewa wa maagizo ya Mungu kana kwamba mtu anaweza kuyaona. # amri zako makini mbele ya wafalme "amri za dhati kwa wafalme" au "maagizo kwa wafalme"