sw_tn/psa/119/023.md

12 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ingawa watawala wanapanga hila na kunikashifu
"Ingawa watawala hufanya mipango ya kunidhuru na kusema vitu vibaya kunihusu"
# Amri zako za agano ni furaha yangu
"Amri zako za agano zinanifanya kuwa na furaha sana"
# na ni ushauri wangu
Amri za Mungu zinazungumziwa kana kwamba ni watu. "na ni kama washauri wenye hekima kwangu" au "na wananipa ushauri wa hekima"