# Ingawa watawala wanapanga hila na kunikashifu "Ingawa watawala hufanya mipango ya kunidhuru na kusema vitu vibaya kunihusu" # Amri zako za agano ni furaha yangu "Amri zako za agano zinanifanya kuwa na furaha sana" # na ni ushauri wangu Amri za Mungu zinazungumziwa kana kwamba ni watu. "na ni kama washauri wenye hekima kwangu" au "na wananipa ushauri wa hekima"