sw_tn/psa/119/009.md

20 lines
776 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# BETH
Hili ni jina la herufi ya pili ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari katika mistari ya 9-16 unaanza na herufi hii.
# Kijana atasafishaje njia yake?
Swali hili linatumika kutambulisha faida mpya katika neno la Mungu. Swali hili balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hivi ndivyo kijana anavyoweza kusafisha njia yake"
# atasafishaje njia zake
Mwandishi anafananisha kuishi kulingana na sheria ya Mungu kama njia unayowekwa wazi bila vikwazo.
# Kwa moyo wangu wote
Hii ni lahaja. Moyo unawakilishi hisia, hamu, na mapenzi ya mtu. "kwa hali yangu yote" au "kwa kila kitu ndani yangu" au "kwa ukweli"
# Usiniache nipotea kutoka katika amri zako
Hapa kutotii amri za Mungu inaelezwa kama kupotoka njia. "Usiniache nikaidi amri zako"