forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
833 B
Markdown
28 lines
833 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# ALEFU
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la herufi ya kwanza ya alfabeti ya Kihebrania.
|
||
|
|
||
|
# Wamebarikiwa wale
|
||
|
|
||
|
"Ni vizuri vikoje kwa wale"
|
||
|
|
||
|
# wale ambao njia zao hazina lawama
|
||
|
|
||
|
Jinsi mtu anavyotenda inazungumziwa kama "njia." "wale ambao tabia zao hazina lawama" au "wale ambao hakuna anayeweza kuwalaumu kwa kutenda makosa"
|
||
|
|
||
|
# wanao tembea katika sheria ya Yahwe
|
||
|
|
||
|
Jinsi mtu anavyoishi au kutenda inazungumziwa kama kutembea. "wanaoishi kulingna na sheria ya Yahwe" au "wanaotii sheria ya Yahwe." Msemo huu unaweka wazi maana ya "ambao njia zao hazina lawama."
|
||
|
|
||
|
# wanaomtafuta kwa moyo wao wote
|
||
|
|
||
|
"Kumtafuta" Mungu inamaanisha kutaka kumjua.
|
||
|
|
||
|
# kwa moyo wao wote
|
||
|
|
||
|
Hii ni lahaja inayomaanisha kwa nguvu au kwa ukweli. "kwa hali yao yote" au "kwa kila kitu ndani yao" au "kwa kweli"
|