sw_tn/psa/118/010.md

20 lines
760 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mataifa yote
Hapa neno "mataifa" inawakilisha majeshi ya mataifa hayo. Mwandishi anatumi kukuza kwa neno kusisitiza idadi kubwa ya majeshi yaliyomzunguka. "Majeshi ya mataifa mengi"
# katika jina la Yahwe
Hapa neno "jina" linawakilisha nguvu ya Yahwe. "kwa nguvu ya Yahwe"
# ninawakata
Mwandishi anazungumzia kuyashinda majeshi ya adui kana kwamba alikuwa akiyakata kama mtu anavyokata tawi kwenye mmea. "niliwashinda"
# wananizunguka kama nyuki
Mwandishi analinganisha majeshi ya adui na kundi kubwa la nyuki yatamzunguka mtu"
# walipotea haraka kama moto kwenye miiba
Kama miiba iliyokauka inavyowaka upesi, mashambulizi ya majeshi ya adui yaliisha ghafla. "mashambulizi yao yalidumu kwa muda mfupi, kama moto unaoteketeza miiba unavyoisha upesi"