sw_tn/psa/107/017.md

16 lines
448 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walikuwa wapumbavu katika njia zao za uasi
"Walikuwa wapumbavu jinsi walivyoasi dhidi ya Yahwe"
# na kuteswa
"na waliteseka." Kwa bayaba waliteseka kwa kuugua. "na wakawa wagonjwa"
# wakaja karibu na malango ya kifo
Hapa tendo la "kufa" linaelezwa kama sehemu, "malango ya kifo" "kidogo wafe"
# Kisha wakamuita Yahwe katika tabu yao
Inaashiriwa kuwa wanaomba kwa Yahwe ili awasaidie. "Kisha wakaomba kwa Yahwe kuwasaidia katika shida yao"