sw_tn/psa/106/003.md

20 lines
735 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Niite akilini
Msemo "kuita akilini" ina maana ya kukumbuka jambo. "nikumbuke"
# ya chaguo lako
Neno "aliyechaguliwa" ina maana ya watu waliochaguliwa wa Yahwe. "wa watu waliochaguliwa"
# nitashangilia katika furaha ... na nitakuwa na utukufu
Haya ni mambo ambayo Daudi anasema atafanya, pamoja na "kuona mafanikio ya waliochaguliwa wako". Maneno ambayo hayaonekani yanaweza kuongezwa. "Nitashangilia katika furaha ... na nitakuwa na utukufu"
# furaha
"furaha" au "shangwe"
# utukufu na urithi wako
Hapa msemo "urithi wako" ina maana ya Waisraeli, ambao ni watu wa Yahwe waliochaguliwa. Hapa "utukufu" ina maana ya "kujivunia" juu ya kitu; katika hali hii wanajivunia juu ya Yahwe. "kujivunia katika ukuu wako na watu wako"