sw_tn/psa/104/025.md

20 lines
311 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kirefu na kipana
"ina kina kirefu sana na ni pana sana". Urefu na upana wa bahari unasisitiza jinsi ilivyo kubwa.
# inayojaa
"inayomwagikia"
# visivyohesabika
"isiyohesabika"
# wote wadogo na wakubwa
Hii ina maana ya viumbe vya kila aina ya ukubwa.
# Meli husafiri pale
"Meli husafiri juu ya bahari"