# kirefu na kipana "ina kina kirefu sana na ni pana sana". Urefu na upana wa bahari unasisitiza jinsi ilivyo kubwa. # inayojaa "inayomwagikia" # visivyohesabika "isiyohesabika" # wote wadogo na wakubwa Hii ina maana ya viumbe vya kila aina ya ukubwa. # Meli husafiri pale "Meli husafiri juu ya bahari"