sw_tn/psa/104/016.md

16 lines
401 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Miti ya Yahwe hupata mvua nyingi
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe alitoa mvua nyingi kwa ajili ya miti yake"
# Pale ndege hutengeneza viota vyao
Wanatengeneza viota vyao katika seda. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Ndege hutengeneza viota vyao katika seda"
# korongo
Huyu ni aina ya ndege. "ndege"
# pimbi
Pimbi ni mnyama mdogo ambaye hufanana na panya mkubwa. "melesi wa mawe"