# Miti ya Yahwe hupata mvua nyingi Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe alitoa mvua nyingi kwa ajili ya miti yake" # Pale ndege hutengeneza viota vyao Wanatengeneza viota vyao katika seda. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Ndege hutengeneza viota vyao katika seda" # korongo Huyu ni aina ya ndege. "ndege" # pimbi Pimbi ni mnyama mdogo ambaye hufanana na panya mkubwa. "melesi wa mawe"