sw_tn/psa/104/010.md

16 lines
337 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vijito
mito midogo
# punda pori huzima kiu yao
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba wanazima kiu yao kwa kunywa maji. "punda pori hunywa maji kuzima kiu yao"
# ukingo wa mto
ardhi katika ukingo wa mto
# wanaimba miongoni mwa matawi
Hapa Daudi anafafanua ndege kulia kana kwamba walikuwa wakiimba. "wanalia miongoni mwa matawi ya mti"