# vijito mito midogo # punda pori huzima kiu yao Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba wanazima kiu yao kwa kunywa maji. "punda pori hunywa maji kuzima kiu yao" # ukingo wa mto ardhi katika ukingo wa mto # wanaimba miongoni mwa matawi Hapa Daudi anafafanua ndege kulia kana kwamba walikuwa wakiimba. "wanalia miongoni mwa matawi ya mti"