sw_tn/psa/095/010.md

28 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Yahwe anaendelea kuzungumza moja kwa moja na watu wake.
# miaka arobaini
"miaka 40"
# kizazi hicho
"watu hao wote" au "kizazi hicho chote cha watu"
# zurura pembeni
Mungu anawazungumzia watu kana kwamba ni kondoo ambao wataenda popote wanapotaka na hawatabaki karibu na mchungaji. "sogea mbali na mimi" au "kwenda njia yao wenyewe"
# hawajajua njia zangu
"hawajanitii"
# njia zangu
"jinsi ninavyotaka waishi"
# sehemu yangu ya kupumzika
"sehemu ambayo ningewaruhusu wapumzike'