# Taarifa ya Jumla: Yahwe anaendelea kuzungumza moja kwa moja na watu wake. # miaka arobaini "miaka 40" # kizazi hicho "watu hao wote" au "kizazi hicho chote cha watu" # zurura pembeni Mungu anawazungumzia watu kana kwamba ni kondoo ambao wataenda popote wanapotaka na hawatabaki karibu na mchungaji. "sogea mbali na mimi" au "kwenda njia yao wenyewe" # hawajajua njia zangu "hawajanitii" # njia zangu "jinsi ninavyotaka waishi" # sehemu yangu ya kupumzika "sehemu ambayo ningewaruhusu wapumzike'