sw_tn/psa/094/022.md

20 lines
712 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe amekuwa mnara wangu wa juu
Hapa "mnara" ni sitiari ya ulinzi. "Yahwe amenilinda dhidi ya adui zangu"
# Mungu amekuwa mwamba wangu na ngome yangu
Mwandishi anazungumzia Mungu kumlinda kana kwamba Mungu ni sehemu ambayo mwandishi wa zaburi anaweza kwenda ili kuwa salama. "Nimemwomba Mungu kunilinda, na ameniweka salama kwa uwezo wake"
# Atawaletea juu yao udhalimu wao wenyewe
Maana zinazowezekana ni 1) "Atawafanyia vitu viovu walivyowafanyia wengine" au 2) "Atawaadhibu kwa matendo maovu yote aliyowatendea wengine."
# atawakata
Hii ni lahaja inayomaanisha "atawaua"
# katika uovu wao wenyewe
Maana zinazowezekana ni 1) "wakati wanafanya mambo maovu" au 2) "kwa sababu wamefanya mambo maovu."