sw_tn/psa/094/017.md

16 lines
669 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama Yahwe asingekuwa msaada wangu ... ukimya
Hii ni hali ya kubuni. Yahwe alimsaidia, kwa hiyo hakuwa amelala katika sehemu ya ukimya.
# Kama Yahwe asingekuwa msaada wangu
"Kama Yahwe asingenisaidia"
# ningekuwa nimelala chini hivi punde kwenye sehemu ya ukimya
Hapa" ningekuwa nimelala chini" inamaanisha "mauti" na "sehemu ya ukimya" inamaanisha "kaburi." "katika muda mfupi, nitakuwa nimekufa, nikiwa nimelala kaburini"
# Wasiwasi ndani yangu ukiwa mwingi, faraja zako hunifurahisha
Mwandishi anazungumzia wasiwasi kana kwamba anaweza kuhesabu kwa kutenganisha wasiwasi. "Ninapokuwa na wasiwasi kuhusu mambo mengi, umenifariji na kunifanya kuwa na furaha"