sw_tn/psa/092/006.md

12 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katili
"mwenye vurugu na mjinga"
# Wakati waovu wanpochipuka kama nyasi
Hii inafananisha watu waovu na nyasi, ambayo huota upesi na sehemu nyingi. "Wakati watu waovu wanapotokea haraka na kuonekana kuwa kila sehemu, kama nyasi"
# wamehukumiwa kwa kuangamizwa milele
"Mungu ameamua kuwa atawaangamiza kabisa"