# katili "mwenye vurugu na mjinga" # Wakati waovu wanpochipuka kama nyasi Hii inafananisha watu waovu na nyasi, ambayo huota upesi na sehemu nyingi. "Wakati watu waovu wanapotokea haraka na kuonekana kuwa kila sehemu, kama nyasi" # wamehukumiwa kwa kuangamizwa milele "Mungu ameamua kuwa atawaangamiza kabisa"