sw_tn/psa/088/015.md

8 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Matendo yako ya hasira yamepita juu yangu
Hii inamzungumzia Mungu kumwadhibu mwandishi kana kwamba matendo ya Mungu ni wimbi kubwa linaloinuka kutoka baharini na kumwangukia na kumkandamiza mwandishi. "ni kana kwamba matendo yako ya hasira yananikandamiza"
# matendo yako ya kutisha yameniangamiza
Hii inazungumzia Mungu kumwadhibu mwandishi kana kwamba Mungu alimwangamiza kabisa mwandishi. "vitu vya kutishi unavyofanya vimeniangamiza" au "vitu vya kustisha unavyofanya kidogo viniangamize"