sw_tn/psa/088/005.md

24 lines
917 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimeachwa miongoni mwa wafu
Watu kumfanyia mwandishi kana kwamba tayari amekufa inazungumziwa kana kwamba ni maiti ambayo imeachwa bila kuzikwa. "Nimeachwa peke yangu kana kwamba nimekufa"
# mimi ni kama mfu niliyelala kaburini
Mwandishi kuhisi kana kwamba watu na Mungu wamemwacha anajizungumzia kana kwamba alikuwa tayari ni mtu aliyekufa amelala kaburini.
# mfu niliyelala
"mtu aliyekufa mabaye amelala" au "watu waliokufa ambao wamelala"
# ambao huwajali tena
"watu ambao umeacha kuwajali"
# wamekatwa kutoka katika nguvu yako
Mungu kuacha kutumia nguvu yake kuwasaidia wafu inazungumziwa kana kwamba Mungu amemkata au amemtoa kutoka kwenye nguvu yake. "hautumii tena nguvu yako kuwaokoa"
# Umeniweka katika sehemu ya chini zaidi ya shimo, katika vina vya china vyenye giza
Mwandishi kuhisi kama Mungu kumwacha anajizungumzia kana kwamba Mungu amemweka katika kaburi kina kirefu zaidi na lenye giza.