sw_tn/psa/087/004.md

20 lines
580 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ninamtaja
"Nitawaambia kuhusu." Anyezungumza hapa ni Yahwe.
# Rahabu na Babeli
Hapa "Rahabu" ni njia ya kishahiri ya kumaanisha Misri. Zote "Rahabu" na "Babeli" zinawakilisha watu. "watu wa Misri na Babeli"
# kwa wafuasi wangu
"kwa wale wanaoniabudu"
# Filisti, na Tirohopia, pamoja na Kushi
Majina ya mataifa haya yanawakilisha watu. "watu kutoka Filist na Tiro, pamoja na watu wa Kushi"
# Huyu alizaliwa huko
"Huyu" inamaanisha watu kutoka mataifa ambayo mwandisha ameyataja. Ingawa hawakuzaliwa kimwili Sayuni, wale wanaomfuata Mungu ni wakazi wa Yerusalemu kiroho.