# Ninamtaja "Nitawaambia kuhusu." Anyezungumza hapa ni Yahwe. # Rahabu na Babeli Hapa "Rahabu" ni njia ya kishahiri ya kumaanisha Misri. Zote "Rahabu" na "Babeli" zinawakilisha watu. "watu wa Misri na Babeli" # kwa wafuasi wangu "kwa wale wanaoniabudu" # Filisti, na Tirohopia, pamoja na Kushi Majina ya mataifa haya yanawakilisha watu. "watu kutoka Filist na Tiro, pamoja na watu wa Kushi" # Huyu alizaliwa huko "Huyu" inamaanisha watu kutoka mataifa ambayo mwandisha ameyataja. Ingawa hawakuzaliwa kimwili Sayuni, wale wanaomfuata Mungu ni wakazi wa Yerusalemu kiroho.