sw_tn/psa/086/015.md

20 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umejaa uaminifu wa agano na uaminifu
Mungu kuwa mwaminifu kila wakati inazungumziwa kana kwamba uaminifu ni kitu ambacho Mungu ana kiasi kikubwa chake.
# Geuka kwangu
Kumwomba Mung kumzingatia inazungumziwa kana kwamba alimtaka Mungu amgeukie na kumwangalia.
# mpe mtumishi wako nguvu yako
"mwimarishe mtumishi wako" au "mfanye mtumishi wako kuwa imara"
# mtumishi wako ... mwana wa mjakazi wako
Mwandishi anajizungumzia mwenyewe katika hali ya mtu wa tatu.
# na kuaibishwa
"na wataaibika"