sw_tn/psa/086/008.md

12 lines
288 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kati ya miungu
Mwandishi hakiri kuwa miungu hii mingine ipo. Anamaanisha miungu ya uongo ambayo watu wa mataifa mengine huabudu.
# Mataifa yote
Hapa "mataifa" inawakilisha watu. "Watu kutoka mataifa yote"
# Watatukuza jina lako
Hapa "jina" linamwakilisha mtu mzima. "Watakutukuza"