# kati ya miungu Mwandishi hakiri kuwa miungu hii mingine ipo. Anamaanisha miungu ya uongo ambayo watu wa mataifa mengine huabudu. # Mataifa yote Hapa "mataifa" inawakilisha watu. "Watu kutoka mataifa yote" # Watatukuza jina lako Hapa "jina" linamwakilisha mtu mzima. "Watakutukuza"