sw_tn/psa/084/005.md

32 lines
835 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amebarikiwe mtu
Hapa "mtu" inamaanisha watu kwa ujumla.
# ambaye nguvu yake iko katika wewe
Mungu anazungumziwa kana kwamba nguvu kweli ilipatikana ndani yake. "ambaye unamtia nguvu"
# ambaye moyoni mwake ni njia za kwenda Sayuni
Msemo huu unahusu hamu ya kweli kutoka moyoni. "Wanaopenda kwenda juu Sayuni" au "Wanaotaka kwa dhati kwenda juu Sayuni"
# njia
"barabara kuu"
# za kwenda Sayuni
Hekalu lilikuwa Yerusalemu juu ya kilima kirefu zaidi, kiitwacho mlima Sayuni.
# mabonde ya Machozi
Hii inamaanisha sehemu iliyokauka. Biblia zingine zina "bonde la Baka." neno "Baka" linamaanisha kulia."
# Mvua za mapema
Hii inamaanisha mvua inayodondoka katika majira ya kupukutika kwa majani kabla ya majira ya baridi. Hiki ni kipindi cha miezi ya Oktoba na Novemba katika kalenda za magharibi.
# baraka
"mabwawa ya maji"