sw_tn/psa/083/016.md

20 lines
587 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Jaza nyuso zao na aibu
Hapa "nyuso"zinawakilishwa mtu mzima. "Wafanye waaibike sana"
# watafute jina lako
Hapa "jina" linawakilisha uwezo wa Mungu. Adui wa Mungu kukiri kuwa Mungu ana uwezo inazungumziwa kana kwamba wanatafuta kumpata yahwe. "wakubali kuwa una uwezo"
# watafute jina lako
Maana zinazowezekana ni 1) adui wa Mungu wanakiri kuwa Mungu ana uwezo au 2) adui wa mungu wanamwomba Mungu msaada au 3) adui wa Mungu wanaanza kumwabudu na kumtii.
# Na waaibishwe na kuogofywa milele
"Wafanye waaibike na kuogopa milele"
# waangamie kwa aibu
"na wafe wakiwa wameaibika"