sw_tn/psa/081/015.md

24 lines
703 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanaomchukia Yahwe ... mbele zake
Yahwe anajizungumzia mwenyewe katika hali ya mtu wa tatu. ""wanaonichukia ... mbele yangu"
# wajikunyate kwa hofu
"inama chini kwa hofu" au "anguka chini kwa hofu"
# Na waaibishwe milele
"Nitawaaibisha milele" au "Nitawaadhibu milele"
# Nitawalisha israeli kwa ngano safi
Mungu kusababisha ngano bora zaidi kuota Israeli inazungumziwa kana kwamba angewalisha watu ngano kiuhalisia. "Nitawaruhusu Waisraeli kula ngano bora zaidi"
# Nitawalisha Israeli ... nitakuridhisha
Hapa pote wanaozungumziwa ni watu wa Israeli.
# asali kutoka kwenye mwamba
Hii inamaanisha asali ya porini. Nyuki hujenga mizinga katika mashimo kwenye miamba na kutengeneza asali humo.