sw_tn/psa/078/047.md

36 lines
905 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alichofanya kwa Wamisri.
# mkuyu
mti unaotoa matunda
# miale ya radi
radi yenye ngurumo kubwa
# Alinyeshea mvua ya mawe
"Alileta mvua ya mawe" au "Alisababisha mvua ya mawe kuanguka"
# Ukali wa hasira yake uliwapiga
Asafu anazungumzia ukali kana kwamba ni mtu anayeweza kumvamia mtu mwingine. "Alikuwa na hasira nao, kwa hiyo aliwashambulia ghafla na kwa ukali"
# Ukali wa hasira yake
"Hasira yake kali"
# uliwapiga
"aliwavamia wakati hawakuwa wakitegemea chochote kutokea"
# Alituma hasira, gadhabu, na taabu kama wakala wanaoleta maafa
Asafu anazungumzia hasira, gadhabu, na taabu kana kwamba ni watu ambao Mungu anaweza kuwatuma kufanya kazi yake. Alikuwa na hasira sana hadi alitaka kuwadhuru Wamisri, kwa hiyo aliwafanyia taabu na kuwapeleka katika maafa"
# gadhabu
hasira inayomfanya mtu kutaka kuwadhuru wengine