sw_tn/psa/078/035.md

28 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Hii inaelezea kile ambacho Waisraeli walichofanya.
# ita akilini
"kumbuka"
# Mungu alikuwa mwamba wao
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba alikuwa kilima au mlima ambapo watu walienda ili kuwa salama kutoka kwa adui zao. "Mungu ndiye aliyewalinda"
# mkombozi wao
"yule aliyewakomboa"
# walijipendekeza kwake
"walimwambia kuwa ni wa ajabu wakati hawakuamini hivyo"
# kwa midomo yao
Neno "mdomo" ni njia nyingine ya kusema maneno waliyozungumza kwa midomo yao.
# mioyo yao haikuwa thabiti kwake
"hawakumtumaini" au "hawakuwa waminifu kwake"