sw_tn/psa/078/031.md

16 lines
355 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha
wakati chakula kilikuwa bado midomoni mwao (78:29)
# hasira ya Mungu ikawashambulia
"Mungu alikuwa na hasira na akawashambulia."
# akawaleta chini
"akawaua"
# hawakuamini matendo yake ya ajabu
Neno "matendo" ni njia nyingine ya kusema Mungu, ambaye alifanya hayo matendo. "hawakuamini kuwa atawatunza licha ya kufanya mambo ya ajabu hivyo"