sw_tn/psa/076/004.md

20 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Asafu anamzungumzia Mungu kana kwamba Mungu alikuwa askari anayerudi kutoka katika mlima baada ya kushinda vita vikuu.
# Unang'aa kwa nguvu na kuonesha utukufu wako
Mseno wa pili unaimarisha ule msemo wa kwanza ya kwamba utukufu wa Yahwe inaonesha Yahwe kung'aa kwa nguvu.
# Unang'aa kwa nguvu
Maneno "unang'aa kwa nguvu" ni sitiari kwa ajili ya kuwa mkuu. "Unaonesha jinsi ulivyo mkuu"
# wenye mioyo ya ujasiri walitekwa
"Watu wako waliwaua askari shupavu wa adui zao na kuchukua mali zao zote"
# walisinzia
Hapa "walisinzia" ni tasifida ya kufa. "walikufa' au "walianguka chini na kufa"