sw_tn/psa/074/018.md

28 lines
822 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Asafu anaomba msaada wa Mungu.
# Ita akilini
"Vuta nadhari."
# adui alitupa matusi kwako
Asafu anazungumzia maneno ya matusi kana kwamba ni vitu , kama mawe, ambavyo adui alikuwaakitumia kumponda Yahwe. "adui walikutukana mara nyingi"
# maisha ya njiwa wako
Asafu anajizungumzia kana kwamba ni njiwa, ndege asiyeweza kujilinda. "mimi, njiwa wako." Msemo huu pia ni sitiari kwa ajili ya watu wa Israeli.
# njiwa
Ndege mdogo asiyeweza kujilinda na mara nyingi hutunzwa kama ndege wa kufuga.
# mnyama pori
Msemo huu unaweza kuwa ni sitiari kwa ajili ya adui wa Israeli. "adui mkatili ambaye ni kama mnyama pori"
# Usisahau maisha ya watu wako walio kandamizwa milele
Usiendelee milele kutokufanya kitu kuwasaidia watu wako walio kandamizwa" "Njoo upesi kuwasaidia watu wako walio kandamizwa"