sw_tn/psa/072/013.md

28 lines
558 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Anahuruma kwa maskini na wahitaji
"Anataka kuzuia maskini na wahitaji kuhangaika"
# maskini na wahitaji
Hapa maneno "maskini" na "wahitaji" yana maana ya kufanana na yanasisitiza kwamba hawawezi kujisaidia wenyewe.
# Anaokoa maisha yao
"Anawaokoa" au "Anawakomboa"
# ukandamizaji na vurugu
Maneno haya mawili yana maana zinazo fanana na yanasisitiza jinsi wahitaji wanavyohangaika. "wale wanao wakandamiza na kuwaumiza"
# damu yao ni ya dhamani machoni pake
"anataka waishi vizuri"
# damu yao
"maisha yao" au "hali yao"
# machoni pake
"kwake"