# Anahuruma kwa maskini na wahitaji "Anataka kuzuia maskini na wahitaji kuhangaika" # maskini na wahitaji Hapa maneno "maskini" na "wahitaji" yana maana ya kufanana na yanasisitiza kwamba hawawezi kujisaidia wenyewe. # Anaokoa maisha yao "Anawaokoa" au "Anawakomboa" # ukandamizaji na vurugu Maneno haya mawili yana maana zinazo fanana na yanasisitiza jinsi wahitaji wanavyohangaika. "wale wanao wakandamiza na kuwaumiza" # damu yao ni ya dhamani machoni pake "anataka waishi vizuri" # damu yao "maisha yao" au "hali yao" # machoni pake "kwake"